Skip to main content
Skip to main content

Ruto amshambulia Gachagua, amtetea Kithure Kindiki

  • | Citizen TV
    7,517 views
    Duration: 2:44
    Rais William Ruto amemshambulia aliyekuwa naibu wake Rigathi Gachagua leo, akisema ni mkoloni mambo leo anayetumia jamii yake kisiasa kuwalazimisha viongozi kumuabudu. Akizungumza eneo la tharaka nithi leo, Rais Ruto pia alimmiminia sifa naibu wake Prof. Kithure Kindiki, akisema ni mchapakazi kuliko gachagua akisema ataendelea kufanya kazi naye.