Skip to main content
Skip to main content

Ruto anadi sera Mlima Kenya

  • | Citizen TV
    3,210 views
    Duration: 2:34
    Baada ya Kimya cha Muda Mrefu Kuzuru Eneo la Mlima Kenya, Mikakati ya hivi Punde ya Rais WIlliam Ruto inaonekana kubadili taswira hiyo na kurejelea uhusiano Wake na Wakaazi wa Mlima Kenya.Rais akifanya mkutano huko sagana na wanachama na viongozi wa UDA kutoka eneo hilo, amenadi maendeleo yake na kusistiza kwamba hakuna yeyote atakayemtenganisha na eneo hilo.