Ruto apongeza jeshi kwa kuwahusisha wanawake uongozini

  • | KBC Video
    20 views

    Ujio wa akili mnemba unahitaji mkakati kabambe wa kiusalama kudhibiti vitisho vya usalama mitandaoni, kama vile uigaji au kuiba utambulisho wa mtu binafsi. Huu ndio uliokuwa ujumbe wa Rais William Ruto kwa maafisa wa jeshi wakati wa hafla kuhitimu kwa makurutu wa kikosi hicho, iliyoandaliwa jijini Nairobi. Aidha Rais alitoa changamoto kwa maafisa hao kuwa chonjo dhidi ya vitisho vipya vya usalama vinayochangiwa na uvumbuzi wa kiteknologia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive