Skip to main content
Skip to main content

Ruto atetea mikutano ya ikulu

  • | Citizen TV
    2,821 views
    Duration: 1:15
    Rais William Ruto ametetea mikutano yake na viongozi mbalimbali ambao wamekuwa wakialikwa katika Ikulu ya Nairobi. Rais amesema hatua hiyo inalenga kutoa nafasi kwa watu wa haiba mbalimbali na hata raia wa kawaida kufika ikulu. Rais alisema kuwaalika wakenya hakushushi hadhi ya ikulu.