- 2,525 viewsDuration: 3:03Rais William Ruto ametetea utendakazi wake akisema kuwa atawaonyesha wapinzani wake kwa vitendo kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo badala ya kelele. Rais Ruto alikuwa akizungumza aliposimamia kutiwa saini kwa mradi wa ujenzi wa uwanja wa kisasa na eneo la burudani chini ya mradi wa Nairobi Railway City na ujenzi wa reli kutoka Voi hadi mpaka wa Tanzania.