Skip to main content
Skip to main content

Ruto avunja kimya baada ya kushindwa Ol Kalou

  • | Citizen TV
    2,637 views
    Duration: 3:04
    William Ruto amevunja kimya chake kufuatia kushindwa kwa chama cha UDA katika uchaguzi mdogo wa Ol Kalou. Akizungumza Ikulu, Nairobi, Rais Ruto alisema macho yake sasa yanalenga uchaguzi mkuu ujao na akawataka wapinzani wake kujipanga ipasavyo huku akisisitiza kuwa mapambano ya kisiasa bado yanaendelea.