- 1,350 viewsDuration: 1:17Rais William Ruto amewahimiza wakenya kuwaunga mkono viongozi wote waliochaguliwa hivi punde katika chaguzi ndogo akisema watamsaidia kuhakikisha kenya inafanikiwa kuwa miongoni mwa mataifa bora duniani. Rais aliyehudhuria ibada katika kanisa la aic milimani amesisitiza lengo lake ni kubadilisha taifa kwa manufaa ya wote na kuwarai wakenya kuwa na imani kuwa azma hiyo itatimia