Skip to main content
Skip to main content

Ruto awaonya mafisadi sekta ya mafuta

  • | Citizen TV
    9,542 views
    Duration: 3:19
    Rais William Ruto sasa amesema serikali yake itakabiliana na mafisadi katika sekta ya mafuta na kuhakikisha kuwa wale wote wanaohusika wanapigwa kalamu. Akizungumza katika ibada ya jumapili katika eneo bunge la kilgoris kaunti ya narok, Rais Ruto amesema kuwa hataruhusu wafanyikazi serikalini kutumia nyadhifa zao vibaya kuendeleza ufisadi.