Ruto awataka madaktari kurejea kazini, asema serikali kupunguza gharama ya mishahara

  • | KBC Video
    56 views

    Rais William Ruto amewasihi madaktari wanaogoma kukubali pendekezo la serikali malipo ya shilingi elfu-70 kila mwezi kwa kila daktari mwanagenzi, akisema haiwezekani kuwalipa shilingi laki-2 wanazoshinikiza. Rais, ambaye alikuwa akizungumza baada ya kuhudhuria ibada ya jumapili katika kanisa la AIC Fellowship mjini Eldoret, kaunti ya Uasin Gishu, vile vile alitangaza kupunguzwa kwa bajeti ya mwaka ujao kutoka shilingi trilioni-4.2 hadi shilingi trilioni-3.7, akisema taifa hili sharti lihudumu kulingana na uwezo wake, na haliwezi kutumia kila ambacho halina. Giverson Maina anaarifu zaidi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive