Skip to main content
Skip to main content

Ruto awataka wakosoaji wake kujiandaa kwa mashindano ya ubabe

  • | Citizen TV
    8,197 views
    Duration: 2:51
    Rais William Ruto amewataka wakosoaji wake kujiandaa kwa mashindano ya ubabe eneo la kati, akisema hayuko tayari kuliacha eneo lililompigia kura kwa wingi na kumpata nafasi ya kuwa Rais. Ruto aliyekuwa katika eneo bunge la Othaya ametetea utendakazi wake katika muda wa miaka mitatu unusu aliokuwa mamlakani. Naibu wake Prof Kithure Kindiki aliyezuru kaunti jirani ya Kirinyaga, amewataka wakaazi wa eneo hili kuwapuuza wapinzani anaosema wanapotosha.