Skip to main content
Skip to main content

Ruto azindua miradi ya maendeleo Nyanza, asema serikali iko imara

  • | Citizen TV
    5,347 views
    Duration: 1:34
    Rais William Ruto ameendelea na ziara yake Nyanza, ambako amezindua miradi mbalimbali ya maendeleo. Rais amesema serikali ya mseto iko imara na iko tayari kukabiliana na upinzani.