Skip to main content
Skip to main content

Ruto, Gachagua na Methu wakabiliana Nyandarua

  • | Citizen TV
    11,683 views
    Duration: 3:46
    Siasa za Mlima Kenya zilitatanda katika ibada ya wafu ya Mbunge wa Ol Kalou marehemu David Kiaraho katika kaunti ya Nyandarua, ambapo Seneta wa eneo hilo John Methu pamoja na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua walimkashifu Rais William Ruto kwa kukosa kutimiza ahadi zake kwa wakazi wa Mlima Kenya. Rais Ruto akitumia fursa hiyo kuwataka wakazi wa eneo hilo kuwa na subra akiwaahidi kuwa atatimiza yote aliyowaahidi. Na kama Emmanuel Too anavyoarifu, kipaza sauti cha Methu kwa wakati fulani kilizimwa baada ya joto la maneno yake kupanda.