Ruto: Kalonzo Musyoka ni ndugu yangu mkubwa mimi niko tayari kufanya kazi na yeye

  • | KBC Video
    402 views

    Ruto: Kalonzo Musyoka ni ndugu yangu mkubwa, akiwa tayari kufanya kazi na serikali, mimi niko tayari. Nilimtafuta baada ya uchaguzi nikamwambia ndio hii serikali tuunde pamoja akaniambia kwanza anataka kujaribu upinzani. Hata hii ya upinzani ni kazi pia, si tulisema kazi ni kazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #presidentruto #rutospeechtoday #KalonzoMusyoka