Skip to main content
Skip to main content

Ruto kuzuru kaunti ya Trans Nzoia

  • | NTV Video
    166 views
    Duration: 1:48
    Huku rais William Ruto akitarajiwa kuzuru kaunti ya trans nzoia hivi karibuni kuzindua miradi ya maendeleo, matayarisho yameanza kupamba moto huku baadhi ya wakuu serikali kutoka kaunti ya trans nzoia wakiendeleza mikutano ya kujadili kuhusu miradi ya maendeleo ambayo itawanufaisha wakazi wa eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya