Skip to main content
Skip to main content

Ruto : Sio warembo peke yao wanaitisha fare, Hata hawa wanaume pia

  • | KBC Video
    234 views
    Duration: 1:40
    NYOTA IN MACHAKOS Ruto : Ati warembo peke yao ndio wa kuuliza fare, mnawaonea. Hata hawa wanaume sio ati wako vizuri vile, utaona Irene hapo anakutumia message ati 'babe'. Siku hizi kuna wale wa kudumu ati 'bazenga' kumbe ni pesa wanatafuta. Hapa kila mtu ajipange. #KBCniYetu