- 303 viewsDuration: 3:01Raia wa Rwanda wameanza maadhimisho ya siku mia moja ya ukumbusho wa miaka 32 tangu mauaji ya kimbari nchini humo. Rais Paul Kagame alizindua kipindi hicho cha kuwakumbuka wahanga zaidi ya laki nane wa mauaji ya mwaka wa1994, wengi wao wakiwa Watutsi. Katika hafla iliyoandaliwa kwenye Ukumbusho wa Kitaifa wa Gisozi mjini Kigali, ambako zaidi ya watu 250,000 walizikwa, Rais Kagame aliitaka jamii ya kimataifa kuisaidia Rwanda kukomesha ukabila badala ya kuiadhibu kwa kujilind