Skip to main content
Skip to main content

Rwanda yafika nusu fainali ya Mashindano ya Voliboli ya Wanawake ya Mataifa ya Afrika ya CAVB

  • | NTV Video
    589 views
    Duration: 50s
    Rwanda imejihakikishia nafasi katika nusu fainali ya Mashindano ya Voliboli ya Wanawake ya Mataifa ya Afrika ya CAVB baada ya kuilaza Ghana seti 3-1 katika mechi ya robo fainali iliyochezwa Uwanja wa Ndani wa Kasarani. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya