Skip to main content
Skip to main content

Sababu 4 zinazowafanya Iran na Marekani kutopatana

  • | BBC Swahili
    48,382 views
    Duration: 2:31
    Makubaliano ya kusitishaji wa mapigano kati ya Israel Marekani na Iran uliokubaliwa mapema mwezi Aprili sasa unazidi kuyumba huku Rais Donald Trump akitangaza mashambulizi mapya dhidi ya Iran huku nayo IRGC ikijibu mashambulizi kwa kuzipiga kambi za kijeshi za Marekani nchini Bahrain Jordan na Kuwait. Lakini kwanini imekuwa vigumu kwa Iran na Marekani kudumisha makubaliano yao ya kusitisha mapigano? Mwandishi wa BBC Leillah Mohammed ametuandalia uchambuzi huu - - #bbcswahili #iran #marekani 22m Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw