Safari ya kubuni tume kamilifu ya IEBC yaanza

  • | Citizen TV
    817 views

    Rais William Ruto sasa ana fursa ya kuteua na kuchapisha rasmi orodha ya majina ya jopo la kuwateua makamishna wa tume ya uchaguzi IEBC.