Safari ya kumtafutia Raila Odinga uungwaji mkono yaanza

  • | Citizen TV
    2,362 views

    Kenya imezindua rasmi kampeni ya waziri mkuu wa zamani Raila Odinga kuwania uenyekiti wa tume ya muungano wa umoja wa Afrika. Rais William Ruto ameongoza hafla hii ambayo pia imeshuhudhuiwa na Marais Samia Suluhu wa Tanzania na Yoweri Museveni wa Uganda.