Skip to main content
Skip to main content

Safari ya Macron Kenya yaja na mikataba na changamoto za kikao Chuo Kikuu cha Nairobi

  • | Citizen TV
    10,265 views
    Duration: 3:21
    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, anayezuru nchini, amekuwa na ratiba tele tangu alipowasili jana. Kuanzia kutia saini mikataba ya ushirikiano hadi kuzindua miradi, safari ya Rais Macron pia imehusisha ratiba ya kufurahia sifa za Kenya. Hata hivyo, rais huyo alilazimika kukatiza na kuingilia kikao katika Chuo Kikuu cha Nairobi kwa sababu ya kelele. Brenda Wanga anaarifu kuhusu haya na mengine katika muda wa Macron nchini.