Safari ya Rais Marekani I Ruto asema alitumia shilingi milioni-10 sio milioni-200

  • | KBC Video
    110 views

    Rais William Ruto amepuuzilia mbali madai ya matumizi mabaya ya raslimali za umma wakati wa ziara yake ya hivi majuzi nchini Marekani. Rais Ruto ambaye aliongoza Wakenya katika maombi ya kitaifa ambayo hufanyika kila mwaka, alisema ziara hiyo ilimgharimu mlipa ushuru shilingi milioni 10 na kwamba ndege aliyosafiria haikuwa ya gharama ya juu. Aidha Rais Ruto amesisistiza kuwa atahakikisha matumizi ya busara ya raslimali za umma

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive