Safari ya wanafunzi Mtanzania na Mnigeria kutoka Sudan

  • | BBC Swahili
    441 views
    Mzozo ulipozuka nchini Sudan mwezi Aprili 2023, raia wa kigeni walihimizwa kuondoka. Wanafunzi Ali Adam kutoka Tanzania na Fauziya Idris Safiyo kutoka Nigeria walikuwa wakiishi Sudan kwa miaka sita. Waliongea na BBC kuhusu safari yao ya kuondoka nchini humo, maisha yao huko kabla ya vita, na wasiwasi wao kuhusu marafiki zao waliowaacha Sudan. #bbcswahili #sudan #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw