Skip to main content
Skip to main content

Safari za ndege zimetatizwa baada ya wafanyakazi wa viwanja vya ndege kuanza mgomo

  • | Citizen TV
    196 views
    Shughuli katika viwanja vya ndege nchini zilitatizika leo kufuatia mgomo wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini. Wafanyakazi hawa wakilalamikia malipo na mazingira DUNI ya kazi. Mgomo huu ukifanyika licha ya agizo la mahakama kuwaagiza wasimamizi wa halmashaur ya wafanyakazi wa viwanja vya ndege kusitisha kwa muda mgomo huo. Jasmine Wambui anaarifu zaidi