- 1,448 viewsDuration: 2:53Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja amekana kwamba baadhi ya majukumu ya serikali ya kaunti ya Nairobi yamehamishwa hadi kwa serikali kuu. Akihutubia bunge la kaunti ya Nairobi, Sakaja amesisitiza kuwa ushirikiano kati ya serikali ya kaunti ya Nairobi na serikali ya kitaifa hautasababisha uhamisho wa mamlaka na majukumu bali ni wa kuboresha huduma kwa wakazi wa Nairobi