Samburu yazindua mpango wa kukusanya ushuru kidijitali

  • | Citizen TV
    292 views

    Kaunti ya Samburu imezindua mpango wa kidijitali wa ukusanyaji ushuru ili kuziba mianya ya ufisadi pamoja na kuongeza mapato. .Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.