Sammy Mwaita ashitakiwa kwa ulaghai wa ardhi ya milioni 300 Nairobi West

  • | Citizen TV
    558 views

    Kamishna wa zamani wa ardhi Sammy Mwaita leo amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa kupanga njama ya kulaghai vipande viwili vya ardhi eneo la Nairobi West hapa Nairobi. Mbunge huyu wa zamani wa Baringo ya kati akituhumiwa kushirikiana na wenzake kwa njama ya ulaghai wa ardhi ya shilingi milioni 300. Mwaita amekanusha mashtaka na kuwachiliwa kwa dhamana