- 5,512 viewsDuration: 4:04Sammy Waweru Kamau ndiye mbunge mteule wa Ol kalou kaunti ya Nyandarua. Kamau wa chama cha DCP ashinda kiti hicho kweye uchaguzi mdogo uliofanyika kwa kura 35,440 na kumbwaga mpinzani wake wa karibu wa chama UDA Samuel Muchina Nyagah.