- 772 viewsDuration: 3:13Sammy Kamau Ngotho wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP) ndiye Mbunge Mteule wa eneo bunge la Ol Kalou kaunti ya Nyandarua. Kamau atangazwa mshindi na tume huru ya uchaguzi na mipaka IEBC katika uchaguzi mdogo wa Alhamisi baada ya kupata kura 35,440, Kamau aahidi kutumikia wakaazi wa Ol Kalou na kuleta mwamko mpya kimaendeleo.