- 6,445 viewsDuration: 5:44Sarah Baartman alikuwa Mwanamke kutoka Afrika Kusini aliyedanganywa, kusafirishwa Ulaya, kudhalilishwa na kudhulumiwa utu wake. Leo hii anakumbukwa kama ishara ya mapambano ya heshima ya mtu mweusi, utu, na haki. Sarah Baartman alifariki dunia tarehe 29 Disemba 1815, lakini maonyesho yake yakaendelea Ubongo wake, mifupa, na viungo vyake vya uzazi viliendelea kuoneshwa katika jumba la makumbusho ya Paris hadi mwaka 1974. Masalia yake hayakuwahi kuhamishwa na kuzikwa mpaka ilipofika mwaka 2002. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw