15 Jul 2026 10:33 am | Citizen TV 146 views Duration: 1:47 Gavana wa Benki Kuu ya Kenya Dkt. Kamau Thugge aitaka sekta ya benki nchini kuimarisha mifumo ya teknolojia ili kuboresha huduma kwa wateja mitandaoni.