- 286 viewsDuration: 2:37Sekta ya bodaboda katika kaunti ya samburu imeahidi kuipa sura mpya sekta hiyo,ikiwemo kuwatimua wahalifu ambao wamegeuza sekta hiyo kuwa maficho yao,wakidai matukio hayo yanaipaka tope sekta iliyobuni ajira kwa maelfu ya vijana