Sekta ya dawa za asili nchini Kenya inazuka upya kwa kasi

  • | K24 Video
    60 views

    Sekta ya dawa za asili nchini Kenya inazuka upya kwa kasi. wanasayansi wanasema wagonjwa wengi huwatembelea kwanza madaktari wa kiasili kabla ya kutafuta matibabu ya kawaida. Hata hivyo, kuna haja ya dharura ya kanuni na ushirikiano wazi kati ya wanasayansi na madaktari wa kiasili, ili kuhakikisha usalama na ufanisi wa matibabu ya mitishamba