Sekta ya kilimo kuimarishwa ili kuongeza pato la taifa

  • | K24 Video
    49 views

    Serikali inapania kuongeza pato la taifa linalotokana na uuzaji wa mazao ya kilimo katika mataifa ya kigeni. kulingana na Rais William Ruto, pato hilo limepungua kutoka asilimia ishirini hadi asilimia kumi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita. Sasa kaunti zote zitakuwa na eneo la kiwanda la mazao ya kilimo ili wakulima wanufaike moja kwa moja bila kutapeliwa.