Sema na Citizen | Utekelezaji wa hazina ya 'hasla'

  • | Citizen TV
    829 views

    Hazina ya 'hasla' ilizinduliwa na rais Ruto hapo jana Wananchi wanaweza kupata mikopo ya ksh.500 hadi ksh. 50,000 Mikopo itatolewa kwa njia ya simu kwa riba ya 8% Wananchi wanaweza kujisajili kupitia nambari *254# Malipo baada ya kupokea mikopo ni muda wa siku 14