Seneta Boni Khalwale amtembelea Wycliffe Oparanya kuzika tofauti zao za kisiasa

  • | West TV
    367 views
    Seneta wa kaunti ya kakamega dr.bonny khalwale na aliyekuwa gavana wa kaunti ya kakamega wycliffe oparanya wameahidi kuweka kando tofauti zao za kisiasa na kushirikiana kwa minajili ya maendeleo, ikiweomo kuwaleta pamoja wakazi wote wa kaunti hiyo.