Skip to main content
Skip to main content

Seneta Edwin Sifuna atimuliwa kama Katibu Mkuu wa ODM kufuatia ukiukaji wa katiba ya chama

  • | Citizen TV
    4,803 views
    Duration: 2:32
    Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ametimuliwa kama katibu mkuu wa chama hicho, kufuatia mkutano wa baraza kuu la chama uliofanyika mjini Mombasa. Mkutano huo ulioongozwa na kinara wa chama hicho Dkt. Oburu Oginga ukisema hatua hii imeafikiwa baada ya Sifuna kukaidi misimamo ya chama cha ODM kinyume na katiba ya chama hicho