- 10 viewsDuration: 1:12Seneta wa Kaunti ya Tana River, Danson Mungatana, amerai wahadhiri wa vyuo vikuu vya umma kusitisha mgomo unaoendelea, akisema kuwa unaathiri hatma ya wanafunzi na kutishia mustakabali wa elimu ya juu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive