- 5,451 viewsDuration: 2:13Seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi anauguzwa majeraha baada ya kuvamiwa katika mkahawa mmoja mjini Kisumu. Kanda za CCTV zimeonyesha namna Seneta Osotsi alivyotandikwa mikononi mwa waliomshambulia na kisha kuondoka muda mfupi baadaye. Osotsi alilazimika kuhamishwa kutoka hospitali alikopelekwa Kisumu hadi hapa Nairobi.