Seneti kufanya vikao kusikiza kesi ya kumbadua Gavana wa Isiolo Abdi Guyo

  • | Citizen TV
    762 views

    Bunge la seneti linaanza vikao leo kusikiliza kesi ya kubanduliwa kwa gavana wa Isiolo Abdi Guyo.

    RUN NATS

    Shughuli ya kumbandua Guyo inafanyika kwa vikao vya siku tatu huku bunge zima likijumuishwa baada ya seenti kukataa pendekezo la kubuni kamati maalum ya watu 11 kushughulikia kubanduliwa kwake. Bunge la Isiolo lilimbandua Guyo mwisho wa mwezi jana wakimlaumu kwa ukiukaji wa katiba na utumizi mbaya wa mamlaka