Skip to main content
Skip to main content

Seneti yahoji matumizi ya fedha katika kaunti ya Homa Bay

  • | KBC Video
    375 views
    Duration: 3:15
    Ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu imeonyesha kuwa shilingi milioni-700 zilizokusanywa kutoka vituo vya afya katika kaunti ya Homa Bay hazijulikani ziliko. Haya yaliibuka wakati wa mkutano wa kamati ya bunge la Senate kuhusu uhasibu wa fedha za umma katika kaunti ulioongozwa na Seneta Moses Kajwang, ambapo gavana Gladys Wanga alikabiliwa na kibarua kigumu kuelezea matumizi ya fedha za kaunti hiyo. Ripoti hiyo pia ilionyesha kwamba kaunti hiyo ilitumia takriban shilingi nusu milioni kujenga vyoo viwili vya mashimo na hivyo kuibua maswali kutoka kwa maseneta. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim anatuarifu zaidi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive