- 212 viewsDuration: 54sSerikali imezindua sera ya kuhakikisha magari ya uchukuzi wa umma, pikipiki na mengineyo yanatumia umeme badala ya mafuta ya petroli. Serikali imepanga kupunguza ushuru wa magari yanayotumia umeme na kuongeza vituo vya kutia chaji kote nchini.