- 12,066 viewsDuration: 3:27Waziri wa vijana na michezo Salim Mvurya ametangaza kuongezwa kwa marupurupu yanayolipwa wasanii, wakiwemo wale wa nyimbo za kisiasa huku taifa likijandaa kwa msimu wa kampeni kabla ya uchaguzi mkuu mwakani. Kupitia kwa mwongozo huo, mgombea urais atalazimika kulipa shilingi nusu milioni kutumia kibao cha mwanamuziki kuzindua azma yake ya kugombea urais.