Skip to main content
Skip to main content

Serikali imetoa shilingi bilioni-2 kwa kiwanda cha kutayarisha maziwa cha New KCC

  • | KBC Video
    99 views
    Duration: 3:13
    Serikali imetoa shilingi bilioni-2 kwa kiwanda cha kutayarisha maziwa cha New KCC ili kuwalipa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa. Kulingana na waziri wa vyama vya ushirika Wycliffe Oparanya, wafugaji hao watapokea malipo yao kuanzia wiki ijayo. Taarifa hii na nyingine ni kwenye mseto wa magatuzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive