Serikali inapanga kupunguza bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025

  • | K24 Video
    80 views

    Serikali imeshauriwa ibuni mbinu mpya za kuongeza ushuru unaokusanywa katika kufaulisha bajeti ya mwaka wa kifedha wa 2024/2025 ili ipunguze mikopo na kuyaboresha mazingira ya biashara nchini. Kulingana na shirika la ushauri la Ernst and Young, serikali imezitwika sekta chache mzigo wa kulipa ushuru, jambo ambalo limeisababisha mamlaka ya kukusanya ushuru kra kukosa kuafikia malengo yake