Serikali kuanzisha ujenzi wa barabara kuu ya Rironi - Mau Summit

  • | KBC Video
    24 views

    Usafiri katika barabara kuu ya Nakuru-Nairobi unatarajiwa kurahisishwa kufuatia hatua ya serikali kuanza ujenzi wa barabara kuu ya Rironi - Mau Summit ya kilomita 170.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News