Skip to main content
Skip to main content

Serikali kubuni mfumo jumuishi wa watoto wasio na familia

  • | KBC Video
    15 views
    Duration: 1:18
    Kenya inapanga kuhamia mfumo mpya wa utunzi wa watoo wasio na wazazi ifikapo mwaka 2032, ili kuwawezesha watoto kulelewa katika familia na jamii badala ya makao au taasisi za watoto wasiojiweza. Wazazi walezi wataajiriwa kulea watoto waliotengana na familia zao kwa muda mfupi au mrefu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive