7 Oct 2025 10:49 am | Citizen TV 243 views Duration: 1:45 Serikali inapanga kujumuisha viongozi wa wanafunzi, maafisa wa usalama wa vyuo, na wasimamizi wa wanafunzi katika kamati za usalama za kaunti na tarafa ili kushughulikia changamoto za wanafunzi mapema.