Skip to main content
Skip to main content

Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imesema inafufua upya sekta ya korosho

  • | Citizen TV
    516 views
    Duration: 2:25
    Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imesema inafufua upya sekta ya korosho ambayo ilikuwa imestawi sana miaka ya 70 kufuatia kuporomoka kwa uzalishaji wa zao hilo kutoka zaidi ya tani 30,000 kwa mwaka hadi chini ya tani 10,000.