Serikali kushirikiana na sekta ya binafsi kuimarisha usalama mitandaoni

  • | KBC Video
    21 views

    Serikali inatafuta ushirikiano wa wataalam wa usalama wa mtandao ili kuimarisha uwezo wa kukabiliana na vitisho vya mtandao. Naibu mkurugenzi wa usalama wa mtandao katika halmashauri ya kuthibiti teknolojia ya habari na mawasiliano , Phillip Irode, amesema uhaba wa wataalm wa mtandao na kuathirika kwa kampuni ndogo ndogo zinazotegemea teknolojia kutoka nje, ni miongoni mwa maswala yanayochochea athari ambazo zinaweza kukabiliwa kwa kuimarisha uwezo wa kukabiliana na athari hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive